Thursday, January 10, 2013

PICHA : JK AWATEMBELEA WANACHAMA UVCCM, KATIKA CHUO CHA TABORA




PICHA : TUNAWASILISHA MAONI

 
Mwenyekiti wa Jukwaa la Katiba Bw. Absolom Kibanda akimkabidhi maoni ya Jukwaa hilo kuhusu katiba Mpya Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Prof. Mwesiga Baregu katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo  

Mwanachama wa Jukwaa la Wahariri (TEF) Bw. Deodatus Balile akiwasilisha maoni ya Jukwaa hilo kuhusu Katiba Mpya katika mkutano uliofanyika katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo. Wengine ni Bw. Ruge Mutahaba (kushoto) kutoka Clouds Media Group na Bw. Yasin Sadik kutoka gazeti la Hoja.


Katibu Mtendaji wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) Bw. Kajubi Mukajanga akiwasilisha maoni ya Baraza hilo kuhusu Katiba Mpya katika mkutano uliofanyika katika ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Bi. Pili Mtambalike kutoka MCT.